Dar es salaam- Tanzania.
Mwanamziki wa nyimbo za injili wa nchini Tanzania Naomi Paul anatarajia kuzindua albamu yake ya kwanza iitwayo Baraka bado zipo, Akizungumza na www.babaakesign.wixsite.com/live alisema `` Mungu akipenda natarajia kuzindua albamu yangu ya Baraka bado zipo na uzinduzi huu utafanyika katika kanisa la Faith Alive ililopo Kinyerezi jijini Dar es salaam mwezi wa tisa mwaka huu`` alisema Naomi Paulo.
Naomi Paul ni mwanamziki mwenye sauti ya inayofanana na Bahati Bukuku ambaye nae ni mwanzamziki wa Injili anaye ishi Tanzania. Kaaa mkao wa kula usikose uzinduzi huu
Comentarios